Jambo moja linalowatofautisha binadamu na ulimwengu wa wanyama ni tabia ya kukuza mila na desturi katika kila kitu kinachowazunguka kuanzia urembo wa kimila hadi tabia. Ni ukweli kuwa Ulimwengu ...
Chumvi ndio kiungo kikuu cha sodiamu katika lishe yetu. Mwili wetu unahitaji sodiamu kwa kazi nyingi. Kazi kuu ni utendaji sahihi wa seli na udhibiti wa maji, nguvu na shinikizo la damu. Kwa hiyo, ...
Mkutano wa bioanuwai wa Umoja wa Mataifa umeanza huko Montreal, Canada. Mkutano huo wa wiki mbili utajikita katika kuokoa viumbe hai. Lakini Bioanuwai ni nini hasa na kwanini ni muhimu katika maisha ...