Wakati huo huo Waziri wa Ulinzi wa Australia, Peter Dutton, ambaye yuko ziarani nchini Marekani, kwa upande wake, amehakikisha kwamba serikali yake iko sawa na wala haiwezi kulaumiwa na Ufaransa.
Iwapo utaonyeshwa maisha yako yote kama filamu halisi machoni mwako, je utakachokishuhudia kitakufurahisha? Je kuna wakati tunahisi kujuta? Mwandishi wa BBC Emma Barnett amezungumza na wanawake wawili ...